FluxBlog

Filmmaker Mode for HDTVs Gains Support From More Electronics Manufacturers, Hollywood Or

More companies and industry organizations have rallied around the UHD Alliances Filmmaker Mode, which brings a more cinematic viewing experience to home entertainment by turning off motion smoothing on TVs, among other setting adjustments.

Is Nigeria's Christian population bigger than Muslim in 2024?

Nigeria is Africa's most populous country. Islam and Christianity are approximately equally represented in the country. The most populated religion in Nigeria has a large number of adherents, and its leaders are highly respected.

Majonzi Mombasa baada ya baba kuwauwa watoto wake 2 akiwa mlevi chakari

Jamaa mmoja kaunti ya Mombasa anazuiliwa na maafisa wa polisi baada ya kuwauwa wanawe 2 kwa kuwadunga visu akiwa mlevi chakari James Maina mwenye umri wa miaka 30 alitekeleza kitendo hicho cha unyama Jumatano Disemba 6, baada ya kuburudukia kwenye klabu na marafiki wenzake.

Malin Akerman to Host Eurovision Song Contest 2024 in Sweden

Watchmen star Malin kerman is set to host this years Eurovision Song Contest in Sweden alongside Swedish singer and comedian Petra Mede. I cant really describe my feelings about this, said kerman, who has also appeared in projects including The Heartbreak Kid and Entourage. I am very excited and a little nervous, but in a

Mwakilishi wa wanawake Kiambu ahofia maisha yake, amlaumu Gavana Waititu

- Wamuchomba alifichua kuwa amekuwa akipokea vitisho - Alimlaumu Waititu kwa kumwandama sana yeye na wandani wake Taabu na misukosuko katika uongozi wa kaunti ya Kiambu zinazidi kuongezeka, mwakilishi wa wanawake katika kaunti hiyo akijitokeza na kufichua kuwa maisha yake yamo hatarini, akimlaumu Gavana Waititu.